more from
Paza

Potea EP

by Maramia Musiq

/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.

      $4 USD  or more

     

1.
03:58
2.
04:34
3.
03:57
4.
03:35

about

Potea is a swahili word for get lost, the EP its a representation and aspiration young talented artists from Nairobi sharing their experience about life.

credits

released December 4, 2015

Composition & Vocals: Onyango Abel
Composer & Lyricist: Stephen Juma

tags

license

all rights reserved

about

Maramia Musiq Nairobi, Kenya

Our music address topics around morals, relationships and social affairs in the community and country at large. We have been in music scene for two(2) years now doing music for the people in sheng (local slang; a fusion of English & Swahili) under genre known as khapuka (fusion of hip hop, genge and R&B. ... more

contact / help

Contact Maramia Musiq

Streaming and
Download help

Redeem code

Track Name: Potea
(Intro)- Eeeh eeeeh
Kukopa tamu kulipa taabu
Maramia musiq

(Chorus 1)- Si ungenia juzi siku ilipita aah aah aah aah aah aaaah
Si ungeniambia jana siku imepitaa aah aah aah aah aah aaah
Si ulipotea si ulipotea eeeahh ×2

(VERSE 1)-
Ndege zinalia kwi kwi
Ni asubuhi watu wametulia tuli

Minyoo zinagwara raah raah raaah
Akuna ata kitu naeza fanya

Nyanya jikoni amepika vako
Vitu kaa sukari hakuna no more no no
Ata pesa hakunaa
Si ningepanda jana ningevuna kesho

Mafta akuna kaa majani
Nafuta nyuki nilambe hasali
Neighbour
Huwa mutu safii
Nakopa deni deni anipeee wakati
Naweka smile uso wa kutabasu

(Asije sije kuona zangu taaabu)×2
Hapa kule najificha ashanipata

(Chori2)

(Verse 2)
Hii
Ndio kulost hauonekani mtaani umeficha white yani umepoteaaa

Hauonekani asubuhi alfajiri ni majioni yani yani umepotea aah!

Kulipa deni imekua tab tab
Wakiaanza dai dai ulipotea

Kila kona wanaponda wakingoja uwalipe deni lakini ng'o! Hawaoni

Mwenye deni kiziwi haskiziki
Amejaa gass ndii hafilisiki
Kama ni fujo fufu hagusiki
Ni maneno pere pere wee lipa deni nani

Za mboga wiki nzima haujalipa nana
Kaa unga quoter ya ugali chai duvia balaa
Kila mara wanapodai ni maneno maneno
Wee lipanga madeni
(Chorus 3)

(Bridge) Si ungesema mapema pema pemaaaaa
Ilinijue mapema pema pemaaa ×2
(Chorus 4)
Track Name: Stakabadhi
Chorus 1)- Omohana achingree
"Hizo stakabadhii
Omohana achingree
Hizo fundermentals
Omohana achingree
"Hapa kwa kifua"
Omohana achinreee
Huku kwa mgongoo
Omohana achingreee
Cheza cheza
Omohana achingree
Ati cheza nami×2

(Verse 1)-
Nakumbuka kitambo
Tukicheza cheza
Macho umelegeza ukicheka cheka
Mtoto si umeshibaaa
Nakumbuka birikicho kwakina shosho
Tukicheza cha baba na cha mama
Sikujua siku moja ntakungoja uwe karibu na mii
Uwekaribu namii
Sikudhani siku moja utakua mama watoto wangu akina pawi×2
(Mama watoto wangu akina pawi) ×2

Ah ah ah ah ah ah.......
Wow wow wow wow wow wow...
Yee le le le le le le....
Wow wow wow wow wow wowooooo

(Chorus 2)-
come we stay sio freshiii
Kuna vile harusi
Kuna vile mahari
Beby usiwe na harry na mahari
Pole pole ndio mwendo kaa akina ngendo
(Bado kusaka mangondo)×2
Not come we stay kuja tuishi
Not come we stay heeey yeah

(Chorus 3)-

(Verse 3)- Hapo kitambo tukicheza kalongo
Niliona katoto kwa majina kadogo
Kalikua kazuri macho yake ndogo ndogo
Mavazi taratibu umbo lake sio Nonooo
Kazuri figure glasi
Kidogo macho classic
Zaidi mambo ucheshi
Zamani basi beby

Natamani niwe na weee
Na kahani mimi na wee
Tukicheza icho icho
Jicho chongoo birikichoo (×2)
Tapoo aah yeee
Maramia musiq

(Chorus 4)
Track Name: Mbaya Mbaya
(Intro/verse1)-

Yaa Natoka D baba but mii uenda raundi hadi baba on the track maramia si D babaa
Aaaaaaah kaa mbaya mbaya iyo ni mbaya

Ati wee ni kipofu na unaona haya
Auna hewa na unapressure mbaya
Umekaa baze na unasouprano mbaya
Haujawaka na si una moto mbaya
Umevaa mastadi na unaogopa masomo mbaya
(Kaaa mbaya mbaya ka ka mbaya mbaya)

Mdomo imekauka na unabonga matope mbaya
Wee si mwindaji na unalenga mbaya
Akili haina meno but kichwa inauma mbaya

(Chorus 1)-
Kaa mbaya mbaya
Kaa kaa mbaya mbaya
Kaa kaa mbaya mbaya
Karekeeeeeee × 2

(Verse 2)-
Na obey my thirst juu nimewakunywa mbaya
Nachangisha pesa za matanga juu mumenikufa mbaya
Simu zenu haziwezi kosa credo juu nimewabamba mbaya
Kaaaaa mbaya mbaya

Hii kofia si kisu na nimeidunga mbaya
Hii toja si exam na imedunda mbaya
Na hii simu haijakosea na inapigwa mbaya
Kaaa

Vitu mzuri mtaani si uita mambo mbaya
Mogoka haina vidole na zimewashika mbaya
Wee si graph book lakinii unanichorea mbaya
(Kaa mbaya mbaya kaa kaa mbaya mbaya kaa kaaaaaaa )

(Chorus 2)-

(Verse 3)-
Wee si sabuni na unangangania ushindi mbaya
Wee si matunda na unachungwa mbaya
(Kaa mbaya mbaya×2)

Muna mapanya kwa nyumba na munaCat walk mbaya
Sisi sio wachawi na tunawaroga mbaya
(Kaa mbaya mbaya ×2)

Hii wiki haisongi na tunaisukuma mbaya
We ni tajiri na uko juu ya maskinii mbaya
(Kaaa mbaya mbaya×2)

Dam anateta kwa line ya choo na anapoti mbaya
Mii sio biashara na unaniuza mbaya
Wee si njogoo na unawika mbaya
Kaaa mbaya mbaya

Una-heartAttack na unaogopa vita mbaya
Unatembea kaa mzee kobe na unaswara mbaya
Unaogopa kifo na unajidai mbaya
Kaaa mbaya mbaya

(Chorus 3)-

(Verse 4)-
Mbaya mbaya na si kwa ubaya
Wee ni mchungaji na unawalinzi mbaya
Wee sii game but unachezwa mbaya
Wee sii dere na unaendesha mbaya

Kama kawa Mara soooo sii chwani
Nimabubu na wanatweeter mbaya
Kama bolt tunafunguka mbaya
Marathon tunawarudisha mbaya

(Teardrop Hazzo dish G-cho pevu billy jacky kitungu wape infor×2)

(Chorus 5)
Track Name: Imelipuka
(Intro) Uuuuuuuwi maramia Musiq
Round hii tumekuja na celest

(Chorus 1) Imelipuka leo "Nini"
Akili yangu imelipuka leo "Kwani ulikua wapi"
Imelipuka leo "Aiiii"
Siri yangu imelipuka leo "Kwani umetoka wapi?"
Imelipuka nikikula jaba
Imelipuka nikigonga glasi
Imelipuka nikikunja toto
Imeli imeli imelipuka leo

(Verse 1)- Kamelipuka tuuu nikikula jaba
Nishasema vile mii uhanya
Nishasema vile mii uwaka
Mogoka kaa chaves zimenishika
Juzi kwa party nikigonga glasiii
Nishasema vile mii hupigwa na wifiii
Nikasema vile mii huchota maji mtoni bibi akicheza kaati
Cheki, mii huvaa suti utadhani C.E.O
Fundi wa viatu pale city hall
Nina maringo tausi kando maringo maringo kaaa mdigoo

Mimi na bibi sii huwa na duty
Nikipiga ugali yeye mboga
Nikifua anakamua
Vyonbo mii uosha akipanguza

(Chorus 2)

(Verse 2)- zii ulipuka tuu tukiwa na yeye
Beby nitakupeleka ulaya
Tukukule githeri nakasoda
Kusafiri si ndege ni boda boda

Niko na mamaa nishajisema
Nina watoto saba different mothers
Na sina nyumba naishikwetu
Pole kuna vile vile inalipuka leo

Nana mii hurudi home kama nimeshibaa
Reason ni ati wamepika mboga
Kama ni nyama najibonda
Ananishuku nikama inalipuka leo

Waaa! Mii huvuta fegi njee ya nyumba
Nikiiingia ni koo mii namumunyaa
Akiuliza nishamrukaa juu ukweli katalipuka leo

(Chorus 3)

(Bridge) Imejulikaana mambo yako imejulikaana
Umepatikana leo umepatikana

(Leo imelipuka leo) ×2

(Chorus 4)

(Outro)- Manzee unafaa kua chonjo na kazi unafanya
Mahali unaiishi juu siku moja italipuka hadharani