more from
Paza

Imelipuka

from by Maramia Musiq

/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.

      $1 USD  or more

     

about

The song is about creating awareness on the effects of drug abuse.

lyrics

(Intro) Uuuuuuuwi maramia Musiq
Round hii tumekuja na celest

(Chorus 1) Imelipuka leo "Nini"
Akili yangu imelipuka leo "Kwani ulikua wapi"
Imelipuka leo "Aiiii"
Siri yangu imelipuka leo "Kwani umetoka wapi?"
Imelipuka nikikula jaba
Imelipuka nikigonga glasi
Imelipuka nikikunja toto
Imeli imeli imelipuka leo

(Verse 1)- Kamelipuka tuuu nikikula jaba
Nishasema vile mii uhanya
Nishasema vile mii uwaka
Mogoka kaa chaves zimenishika
Juzi kwa party nikigonga glasiii
Nishasema vile mii hupigwa na wifiii
Nikasema vile mii huchota maji mtoni bibi akicheza kaati
Cheki, mii huvaa suti utadhani C.E.O
Fundi wa viatu pale city hall
Nina maringo tausi kando maringo maringo kaaa mdigoo

Mimi na bibi sii huwa na duty
Nikipiga ugali yeye mboga
Nikifua anakamua
Vyonbo mii uosha akipanguza

(Chorus 2)

(Verse 2)- zii ulipuka tuu tukiwa na yeye
Beby nitakupeleka ulaya
Tukukule githeri nakasoda
Kusafiri si ndege ni boda boda

Niko na mamaa nishajisema
Nina watoto saba different mothers
Na sina nyumba naishikwetu
Pole kuna vile vile inalipuka leo

Nana mii hurudi home kama nimeshibaa
Reason ni ati wamepika mboga
Kama ni nyama najibonda
Ananishuku nikama inalipuka leo

Waaa! Mii huvuta fegi njee ya nyumba
Nikiiingia ni koo mii namumunyaa
Akiuliza nishamrukaa juu ukweli katalipuka leo

(Chorus 3)

(Bridge) Imejulikaana mambo yako imejulikaana
Umepatikana leo umepatikana

(Leo imelipuka leo) ×2

(Chorus 4)

(Outro)- Manzee unafaa kua chonjo na kazi unafanya
Mahali unaiishi juu siku moja italipuka hadharani

credits

from Potea EP, released December 4, 2015

tags

license

all rights reserved

about

Maramia Musiq Nairobi, Kenya

Our music address topics around morals, relationships and social affairs in the community and country at large. We have been in music scene for two(2) years now doing music for the people in sheng (local slang; a fusion of English & Swahili) under genre known as khapuka (fusion of hip hop, genge and R&B. ... more

contact / help

Contact Maramia Musiq

Streaming and
Download help

Redeem code