more from
Paza

Potea

from by Maramia Musiq

/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.

      $1 USD  or more

     

about

The song talks about bad debts where the debtors refuse to pay

lyrics

(Intro)- Eeeh eeeeh
Kukopa tamu kulipa taabu
Maramia musiq

(Chorus 1)- Si ungenia juzi siku ilipita aah aah aah aah aah aaaah
Si ungeniambia jana siku imepitaa aah aah aah aah aah aaah
Si ulipotea si ulipotea eeeahh ×2

(VERSE 1)-
Ndege zinalia kwi kwi
Ni asubuhi watu wametulia tuli

Minyoo zinagwara raah raah raaah
Akuna ata kitu naeza fanya

Nyanya jikoni amepika vako
Vitu kaa sukari hakuna no more no no
Ata pesa hakunaa
Si ningepanda jana ningevuna kesho

Mafta akuna kaa majani
Nafuta nyuki nilambe hasali
Neighbour
Huwa mutu safii
Nakopa deni deni anipeee wakati
Naweka smile uso wa kutabasu

(Asije sije kuona zangu taaabu)×2
Hapa kule najificha ashanipata

(Chori2)

(Verse 2)
Hii
Ndio kulost hauonekani mtaani umeficha white yani umepoteaaa

Hauonekani asubuhi alfajiri ni majioni yani yani umepotea aah!

Kulipa deni imekua tab tab
Wakiaanza dai dai ulipotea

Kila kona wanaponda wakingoja uwalipe deni lakini ng'o! Hawaoni

Mwenye deni kiziwi haskiziki
Amejaa gass ndii hafilisiki
Kama ni fujo fufu hagusiki
Ni maneno pere pere wee lipa deni nani

Za mboga wiki nzima haujalipa nana
Kaa unga quoter ya ugali chai duvia balaa
Kila mara wanapodai ni maneno maneno
Wee lipanga madeni
(Chorus 3)

(Bridge) Si ungesema mapema pema pemaaaaa
Ilinijue mapema pema pemaaa ×2
(Chorus 4)

credits

from Potea EP, released December 4, 2015

tags

license

all rights reserved

about

Maramia Musiq Nairobi, Kenya

Our music address topics around morals, relationships and social affairs in the community and country at large. We have been in music scene for two(2) years now doing music for the people in sheng (local slang; a fusion of English & Swahili) under genre known as khapuka (fusion of hip hop, genge and R&B. ... more

contact / help

Contact Maramia Musiq

Streaming and
Download help

Redeem code