We’ve updated our Terms of Use to reflect our new entity name and address. You can review the changes here.
We’ve updated our Terms of Use. You can review the changes here.

Potea EP

by Maramia Musiq

supported by
/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
    Purchasable with gift card

      $4 USD  or more

     

1.
Potea 03:58
(Intro)- Eeeh eeeeh Kukopa tamu kulipa taabu Maramia musiq (Chorus 1)- Si ungenia juzi siku ilipita aah aah aah aah aah aaaah Si ungeniambia jana siku imepitaa aah aah aah aah aah aaah Si ulipotea si ulipotea eeeahh ×2 (VERSE 1)- Ndege zinalia kwi kwi Ni asubuhi watu wametulia tuli Minyoo zinagwara raah raah raaah Akuna ata kitu naeza fanya Nyanya jikoni amepika vako Vitu kaa sukari hakuna no more no no Ata pesa hakunaa Si ningepanda jana ningevuna kesho Mafta akuna kaa majani Nafuta nyuki nilambe hasali Neighbour Huwa mutu safii Nakopa deni deni anipeee wakati Naweka smile uso wa kutabasu (Asije sije kuona zangu taaabu)×2 Hapa kule najificha ashanipata (Chori2) (Verse 2) Hii Ndio kulost hauonekani mtaani umeficha white yani umepoteaaa Hauonekani asubuhi alfajiri ni majioni yani yani umepotea aah! Kulipa deni imekua tab tab Wakiaanza dai dai ulipotea Kila kona wanaponda wakingoja uwalipe deni lakini ng'o! Hawaoni Mwenye deni kiziwi haskiziki Amejaa gass ndii hafilisiki Kama ni fujo fufu hagusiki Ni maneno pere pere wee lipa deni nani Za mboga wiki nzima haujalipa nana Kaa unga quoter ya ugali chai duvia balaa Kila mara wanapodai ni maneno maneno Wee lipanga madeni (Chorus 3) (Bridge) Si ungesema mapema pema pemaaaaa Ilinijue mapema pema pemaaa ×2 (Chorus 4)
2.
Stakabadhi 04:34
Chorus 1)- Omohana achingree "Hizo stakabadhii Omohana achingree Hizo fundermentals Omohana achingree "Hapa kwa kifua" Omohana achinreee Huku kwa mgongoo Omohana achingreee Cheza cheza Omohana achingree Ati cheza nami×2 (Verse 1)- Nakumbuka kitambo Tukicheza cheza Macho umelegeza ukicheka cheka Mtoto si umeshibaaa Nakumbuka birikicho kwakina shosho Tukicheza cha baba na cha mama Sikujua siku moja ntakungoja uwe karibu na mii Uwekaribu namii Sikudhani siku moja utakua mama watoto wangu akina pawi×2 (Mama watoto wangu akina pawi) ×2 Ah ah ah ah ah ah....... Wow wow wow wow wow wow... Yee le le le le le le.... Wow wow wow wow wow wowooooo (Chorus 2)- come we stay sio freshiii Kuna vile harusi Kuna vile mahari Beby usiwe na harry na mahari Pole pole ndio mwendo kaa akina ngendo (Bado kusaka mangondo)×2 Not come we stay kuja tuishi Not come we stay heeey yeah (Chorus 3)- (Verse 3)- Hapo kitambo tukicheza kalongo Niliona katoto kwa majina kadogo Kalikua kazuri macho yake ndogo ndogo Mavazi taratibu umbo lake sio Nonooo Kazuri figure glasi Kidogo macho classic Zaidi mambo ucheshi Zamani basi beby Natamani niwe na weee Na kahani mimi na wee Tukicheza icho icho Jicho chongoo birikichoo (×2) Tapoo aah yeee Maramia musiq (Chorus 4)
3.
Mbaya Mbaya 03:57
(Intro/verse1)- Yaa Natoka D baba but mii uenda raundi hadi baba on the track maramia si D babaa Aaaaaaah kaa mbaya mbaya iyo ni mbaya Ati wee ni kipofu na unaona haya Auna hewa na unapressure mbaya Umekaa baze na unasouprano mbaya Haujawaka na si una moto mbaya Umevaa mastadi na unaogopa masomo mbaya (Kaaa mbaya mbaya ka ka mbaya mbaya) Mdomo imekauka na unabonga matope mbaya Wee si mwindaji na unalenga mbaya Akili haina meno but kichwa inauma mbaya (Chorus 1)- Kaa mbaya mbaya Kaa kaa mbaya mbaya Kaa kaa mbaya mbaya Karekeeeeeee × 2 (Verse 2)- Na obey my thirst juu nimewakunywa mbaya Nachangisha pesa za matanga juu mumenikufa mbaya Simu zenu haziwezi kosa credo juu nimewabamba mbaya Kaaaaa mbaya mbaya Hii kofia si kisu na nimeidunga mbaya Hii toja si exam na imedunda mbaya Na hii simu haijakosea na inapigwa mbaya Kaaa Vitu mzuri mtaani si uita mambo mbaya Mogoka haina vidole na zimewashika mbaya Wee si graph book lakinii unanichorea mbaya (Kaa mbaya mbaya kaa kaa mbaya mbaya kaa kaaaaaaa ) (Chorus 2)- (Verse 3)- Wee si sabuni na unangangania ushindi mbaya Wee si matunda na unachungwa mbaya (Kaa mbaya mbaya×2) Muna mapanya kwa nyumba na munaCat walk mbaya Sisi sio wachawi na tunawaroga mbaya (Kaa mbaya mbaya ×2) Hii wiki haisongi na tunaisukuma mbaya We ni tajiri na uko juu ya maskinii mbaya (Kaaa mbaya mbaya×2) Dam anateta kwa line ya choo na anapoti mbaya Mii sio biashara na unaniuza mbaya Wee si njogoo na unawika mbaya Kaaa mbaya mbaya Una-heartAttack na unaogopa vita mbaya Unatembea kaa mzee kobe na unaswara mbaya Unaogopa kifo na unajidai mbaya Kaaa mbaya mbaya (Chorus 3)- (Verse 4)- Mbaya mbaya na si kwa ubaya Wee ni mchungaji na unawalinzi mbaya Wee sii game but unachezwa mbaya Wee sii dere na unaendesha mbaya Kama kawa Mara soooo sii chwani Nimabubu na wanatweeter mbaya Kama bolt tunafunguka mbaya Marathon tunawarudisha mbaya (Teardrop Hazzo dish G-cho pevu billy jacky kitungu wape infor×2) (Chorus 5)
4.
Imelipuka 03:35
(Intro) Uuuuuuuwi maramia Musiq Round hii tumekuja na celest (Chorus 1) Imelipuka leo "Nini" Akili yangu imelipuka leo "Kwani ulikua wapi" Imelipuka leo "Aiiii" Siri yangu imelipuka leo "Kwani umetoka wapi?" Imelipuka nikikula jaba Imelipuka nikigonga glasi Imelipuka nikikunja toto Imeli imeli imelipuka leo (Verse 1)- Kamelipuka tuuu nikikula jaba Nishasema vile mii uhanya Nishasema vile mii uwaka Mogoka kaa chaves zimenishika Juzi kwa party nikigonga glasiii Nishasema vile mii hupigwa na wifiii Nikasema vile mii huchota maji mtoni bibi akicheza kaati Cheki, mii huvaa suti utadhani C.E.O Fundi wa viatu pale city hall Nina maringo tausi kando maringo maringo kaaa mdigoo Mimi na bibi sii huwa na duty Nikipiga ugali yeye mboga Nikifua anakamua Vyonbo mii uosha akipanguza (Chorus 2) (Verse 2)- zii ulipuka tuu tukiwa na yeye Beby nitakupeleka ulaya Tukukule githeri nakasoda Kusafiri si ndege ni boda boda Niko na mamaa nishajisema Nina watoto saba different mothers Na sina nyumba naishikwetu Pole kuna vile vile inalipuka leo Nana mii hurudi home kama nimeshibaa Reason ni ati wamepika mboga Kama ni nyama najibonda Ananishuku nikama inalipuka leo Waaa! Mii huvuta fegi njee ya nyumba Nikiiingia ni koo mii namumunyaa Akiuliza nishamrukaa juu ukweli katalipuka leo (Chorus 3) (Bridge) Imejulikaana mambo yako imejulikaana Umepatikana leo umepatikana (Leo imelipuka leo) ×2 (Chorus 4) (Outro)- Manzee unafaa kua chonjo na kazi unafanya Mahali unaiishi juu siku moja italipuka hadharani

about

Potea is a swahili word for get lost, the EP its a representation and aspiration young talented artists from Nairobi sharing their experience about life.

credits

released December 4, 2015

Composition & Vocals: Onyango Abel
Composer & Lyricist: Stephen Juma

license

all rights reserved

tags

about

Maramia Musiq Nairobi, Kenya

Our music address topics around morals, relationships and social affairs in the community and country at large. We have been in music scene for two(2) years now doing music for the people in sheng (local slang; a fusion of English & Swahili) under genre known as khapuka (fusion of hip hop, genge and R&B. ... more

contact / help

Contact Maramia Musiq

Streaming and
Download help

Redeem code

Report this album or account

If you like Maramia Musiq, you may also like: